ANGALIA PICHA LORI LA MAFUTA LADONDOKA MLIMA SEKENKE LALIPUKA NA KUUWA WATU WA NNE
Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hilo
Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani singida na kuua watu wanne hapohapo.Chanz cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo
Moto ukimalizikia kwa mbaliii kama inavyoonekana
No comments:
Post a Comment