Mkuu wa
Wilaya ya Kinoniondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta
ambacho kumefanyika uharibifu mkubwa na kuharibu kompyuta za mezani 40
na kompyuta mpakato 16 hazijulikani zilipo baada ya wanafunzi kuvamia
maeneo mbalimbali ya shule hiyo alfajiri ya kuamkia leo majira ya saa
nane usiku na kufanya uiharibifu hio na kuvunja vinja vioo vya majengo
na magari.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akiwa pamoja na
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura
wakikagua uharibifu uliofanywa na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya St.
Anne Marie iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam leo.
Mabasi ya shule na magari mengine yapatayo 17 yamevinjwa vioo na kuharibiwa vibaya.
Maisha
ya sasa ni ya sayansi na teknolojia na hii ndio moja ya maabara ya
teknolojia hiyo ambayo imeharibiwa vibaya na wanafunzi hao.
DC wa Kinondoni akizungumza na walimu wa shule na viongozi wa shule hiyo.
Walimu wakimsikiliza DC wa Kinondoni
Viongozi wa wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya.
No comments:
Post a Comment