Ndege isiyo na rubani (drone) yatumika kusimamia mitihani
Shule moja ya nchi Ubelgiji imeamua kutumia ndege isiyo na rubani
(drone) kusimamia mitihani baada ya kushindwa mbinu za kawaida kuwazuia
wanafunzi kufanya udanganyifu katika mitihani yao.
Ndege hiyo ina
kamera ya kuchukua picha za video pamoja na kurekodi harakati yoyote
inayotia wasiwasi kutoka kwa mwanafunzi yeyote yule na kurusha moja kwa moja kwenye TV harakati yoyote ile isiyo ya kawaida.
Ingia kwenye link hii hapa kuona video ya ndege hiyo inapokuwa kazidi darasani
BOFYA HAPA KUONA LINK YENYEWE
No comments:
Post a Comment