Taarifa zinaendelea kusambaa kwenye mitandao mingi kwamba nicki minaj
ana mimba. Na unaweza kujiuliza nani atakua baba? Sio mwingine bali Lil
Wayne. Nicki minaj alionekana akiwa na kitumbo kidogo akitoka dinner
tarehe 2 januari na akitumia maji tu usiku huo kitu ambacho sio kawaida
yake.Tunasubiri kuona kama nicki atatangaza rasmi kuhusiana na rumour
hizi.
Rumour hizi ni suprise kwa watu wengi kwasababu nicki minaj
alishatamka katika interview na kituo cha MTV kwamba lil wayne ni kama
kaka kwake.”Not only is he my boss, but he’s also like my brother,”
alisema nicki minaj mwezi April Mwaka Jana.Kama rumour hizi zikiwa kweli
mtoto atakayezaliwa atakua ni wa 5 kwa wayne (ana watoto wanne wote
mama tofauti). Watu wengi imekua ndio topic yao leo kwenye mtandao huku
wakiwa na wasiwasi kwamba nicki na wayne hawana parenting skills
No comments:
Post a Comment