20 January 2014

TAZAMA PICHA HII NDIO NDEGE YA ANAYOMILIKI MSANII JAGUAR NA ALIKUJA NAYO TANZANIA MWISHO WA WIKI

jaguar3 Jaguar msanii wa Kenya anatajwa kama masanii mwenye mafanikio kwenye muziki na kwenye biashara binafsi. Jaguar pamoja na team yake walikuja Dar kwa ajili ya promotion ya wimbo wake mpya “Kioo”. Unaambiwa kutoka Kenya kuja Tanzania msanii huyu hakupanda ndege za kawaida bali alikuja na ndege yake binafsi ambayo imeandikwa Air Jaguar. jaguar jaguar2 jaguar4

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname