Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square wanazidi kuwekeza kwa
kununua mijengo ya kifahari nchini Marekani. Baada ya mwaka jana kununua
nyumba huko San Francisco, mapacha hao sasa wamenunua nyumba mbili za
kifahari kwenye mjini wa Buckhead uliopo jijini Atlanda, Georgia nchini
Marekani.
Peter ameshare picha za nyumba hizo kwenye Instagram ambapo kwenye
picha moja ameandika: Bought ourselves two new homes in Atlanta GA.
Thank u Lord.”
Hizi ni picha zingine.
No comments:
Post a Comment