18 January 2014

PHOTOS: RADO ANUNUA MKOKO MPYA.


Muigizaji maarufu wa filamu nchini Simon Mwapagata(Rado) amenunua gari jipya aina ya Toyota Mark X anayodai imemgharimu pesa nyingi baada ya gari lake la mwanzo kuharibika kwa ajali. Angalia picha za gari mpya la Rado hapo chini kwa hisani ya Bongomovies.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname