PHOTOS: DIAMOND AMNUNULIA WEMA SEPETU ZAWADI NCHINI KENYA.
Diamond Platinumz ambaye alikuwa na music show nchini Kenya juzi aliamua
kumnunulia mpenzi wake Wema Sepetu zawadi za perfume na mazagazaga
mengine ya urembo ikiwa ni ishara ya wapendanao. kupitia Instagram Wema
aliandika....
Angalia picha hapo chini Diamond akimnunulia Wema zawadi huko Kenya........
No comments:
Post a Comment