22 January 2014

NYODO ZA MASTAA:JAGUAR AFUNGUKA, ASEMA GARI YA PREZO ALONUNUA INAINGIA MARA 16.


1


Alichokisema Jaguar zaidi ni kwamba kwaani hashindani na Prezzo katika ununuaji wa magari, pia alizungumza na kusema kuwa gari aliyonunua Prezzo inaingia mara 16 ya gari ya Jaguar hivyo haoni sababu ya kuifananisha gari yake na Prezoo. Mahasimu hawa mara kadhaa waliingia kwenye headlines na Jaguar kwa malumbano mbalimbali ikiwemo kutambiana muziki, mali na uwezo wa kifedha.

Gari ya Jaguar Hii Hapa Chini
Gari la Jaguar lenye thamani ya shilingi Milioni 16 za Kenya ambalo liko mwisho wa hii post, aliiingia nalo kwenye uwanja pembeni kabisa ya jukwaa alipokwenda kufanya show ambapo alishuka kwenye gari wakati time yake ya kupanda jukwaani ilipofika, alikua kalipaki karibu kabisa na ngazi za kupandia jukwaani.  
1

2
 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname