JOYCE KIRIA AKIWA NA MUMEWE HENRY KILEO
NGUVU YA ZITTO IMEMUINGIA HADI MKE WA JUNIO KILEO,KILEO NI YULE AMBAE
ALILALAMIKIWA NA KUSHITAKIWA NA ZITTO KUWA ALIWEKA KWENYE MTANDAO WAKE
HABARI ZA KUWA ZITTO KAONGWA NA CCM
MKE WA KILEO BI JOYCE KIRIA AAMUA KUANIKA UKWELI HADHARANI
Dada Joyce Kiria ambaye ni mwendesha kipindi cha Wanawake Live CHA EATV
Haya ndiyo maoni yake katika mjadala mmojawapo katika wall ya Albert
Msando. Mjadala upo chini ya Kitila na Mwigamba wavuliwa uongozi.
"Kama CDM mmeamua kuchonga barabara, msiwaache wanaokwenda kinyume na
Miiko na Maadili ya Uongozi. Mh Mbowe kazaa nje ya Ndoa! Mh Mukya kazaa
na Mume wa mtu. HAO NI VIONGOZI WA AINA GANI??
Na Viongozi wengine wenye tabia za namna hiyo hawafai hata kuwa wajume wa nyumba 10...
CDM Mkiishia kwa ZZK mtakuwa Mmebagua sana. Na mtakuwa mmewaonea sana kina ZZK na his Team. Mtazamo tu
Yangu Macho...
Uaminifu ndo Msingi wa mambo yote! Ukishindwa kuwa mwaminifu kwenye
familia yako, Ndoa yako, nyumbani kwako, hakuna mahali pengine utaweza
kuwa Mwaminifu.
Hayo ya Ufisadi yanaanza na Mtu binafsi, Familia, ( Mke) na mwisho ndo Jamii...
Umeshindwa kuongoza Familia yako, ivi kweli Taifa ndo Utaliweza??
CDM msipokubali chujio liwapitie wote, mkabakia kuangalia tabaka na vidagaa mtachelewa sana kufika....
Mtazamo wangu na Msimamo wangu ndo huo...
Uchaguzi ujao ni heri kuchagua Mtu siyo chama! kama mambo hayatabadilika...
Note: Jazba inatoa watu povu kweli..mie huwa sijali
Hiyo inaitwa Vunja Ukimya, Elimika,
Uaminifu wa Kiongozi yeyote na dhamira yake ya kubeba Dhamana ya Matumaini ya Wananchi Ni Lazima Ianzie nyumbani kwake.
Kama Kiongozi ameshindwa kutunza Uaminifu kwa Mke wake, (familia moja)
atawezaje kwa jamii (familia lukuki) kama Kiongozi ameiumiza familia
yake ya watu wachache, atashindwa vipi kuwaumiza watanzania wengi
asiowajua....
Unapomuumiza Mke wako aliyekuzalia Watoto, kwa kutoka nje ya Ndoa, tena Ukazaa huko!! wewe huna tofauti na Mafisadi wengine...
Hufai Kuwa Kiongozi hata wa Nyumba 10....
Huo ndo msimamo wangu mimi Joyce Kiria..... Tokeni povu lakini
hamnisumbui ng'o... Ukweli daima nitasema ili niepuke Unafiki na
Uzandiki niwe Huru...."
Credit: Emmanuel Shilatu
No comments:
Post a Comment