MFAHAMU DOGO WA MIAKA 6 ANAYELIPWA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 12 ZA KITANZANIA KWA WIKI
Mtoto
mwenye umri wa miaka 6 ambaye anahusika kwenye series ya comedy ambayo
itaanza kuonekana hivi karibuni analipwa dola 8,000 kila wiki akitokea
kwenye episode moja.
Kutokana na mkataba wake ambapo atahusika kama mhusika mkuu kwenye
season ya kwanza ya show mpya ya Disney, August Maturo atakua anaingiza
dola dola 32,000 kila mwezi ambazo ni karibia zaidi ya milioni 51.
Show hiyo imeshakuwa proved kwa ajili ya season nyingine ambapo
anaweza ku-sign mkataba wa pesa nyingi zaidi ya anazopata hivi sasa.
Show hiyo ambayo itakuwa inaonekana kwenye Disney Channel inaitwa Girl Meets World.
No comments:
Post a Comment