Maimartha Jesse.
Maimartha alichukua uamuzi huo mapema mwaka huu kufuatia kukerwa na
mateja hao kwa muda mrefu katika duka lake la vipodozi hivyo akaona bora
alihamishie maeneo ya Vijana, Kinondoni jijini Dar.“Mwenzagu walizidi sana kurandaranda pale kila siku ni vurugu mwanzo mwisho, nimehamisha vifaa vyote duka amebaki nalo mtu mwingine,” alisema mtangazaji huyo.
No comments:
Post a Comment