18 January 2014

HII NDO KAULI YA LADY JAY DEE...BAADA YA KUFIKISHA FANS LAKI MBILI KATIKA MTANDAO WA FACEBOOK

Hatimae imefikia idadi ya 200,000, (laki mbili)


Kila mtu ambae yupo kwenye hii page anastahili kupata hii nafasi ila sababu watu laki 2 hatuwezi kwenda dinner wote kwa pamoja naomba nitaje wachache waliobahatika, watawawakilisha na wengine.

Nimeona badala ya watu kumi niongeze wengine wanne wamekuwa 14...(Bonus)
Nashukuru kwa kuendelea ku like page yangu.
1. GENI GENI
2. OBADIA USWEGE
3. MARTIN WAFUALA
4. FRANK NYABILI
5. POPE RAY MBISHI
6. MSAFIRI MSAMI
7. EDWIN EMMANUEL
8. QUADRAH CHARITY
9. ALVEEH CHELSEA BLAQ
10. HASHYME MDETY
11. PATRICK KAPUS KASIRIM
12. STANLEY MCHOME
13. PROSPER DAUD
14. FJ JUMA

Mta inbox namba zenu za simu, ili muweze kupatiwa utaratibu wa jinsi gani mialoko itawafikia... Hongereni na tutaonana Valentines Day
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname