01 January 2014

HII AKAUNTI FEKI INAYO TUMIA JINA LA DJVPEENEY YALETA BALAA...KWA KUJIFANYA KAMA NI AKAUNTI YA PENNY

clip_image002
Akaunti hiyo imepost Post mbalimbali zinazomwandama mdada huyo ambae alikuwa na Mahusiano na Msanii Diamond Platnumz Na hivi karibuni imeripotiwa kuwa wametengana…Sasa haijajulikana Huyu mwenye akaunti hii dhumuni lake ni lipi.

Unaweza kuona Moja ya Post hiyo hapa chini:clip_image001

1 comment:

  1. usiwe bwege weewee hio sio akaunti feki ya penny bali io ni akauti ya haters wa penny uoni hata jina lilvyo andikwa .....tumia akili usitumie mkojo

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname