Mtangazaji matata wa Clouds Fm
Anayejulikana kwa jina la Loveness Diva jana usiku katika kipindi chake
Alifunguka kiana kuhusu wapenzi wanapogombana na kuanza kuweka
mitandaoni Private Message walizokuwa wanatumiana wakiwa ndani ya
Mapenzi...Aliwaasa wakina dada waache huo mchezo kwani ni kujiabisha
mbele ya jamiiii ..kwani inafika mahali mpaka unasema jinsi maumbile ya
mpenzi wako yalivyo...Hili linaonekana ni ndogo kiana kwa Mwanadada
Starlisha a.ka Chagabibie Ambae Jana Ilikuwa Gumzo mitandaoni Baada ya
Kuweka Conversation zake na Prezzo Aliyekuwa Mpenzi wake na kufikia
kumwita Kibamia ...
Je wewe unasemaje ...ni sahihi kuweka private msg za mpenzi wako online baada ya kuachana?
Amezoea mihogo ya Kiwest ambayo amekuwa akiviringishiwa nayo miaka nenda rudi.Hebu tuambie wewe mwenyewe uliyepitiwa naye, je kweli ni kibamia cha kuchosha au vipi? Nijuavyo huyo Chagabebi kabeba mijang'ombe mingi sana ya aina tofautitofauti hivyo kashindwa kushiba kwa mKenya.
ReplyDelete