05 January 2014

DESIGN MPYA YA 2014 YA MIKOBA NA VIATU VILIVYOTENGENEZWA KWA KUTUMIA VITENGE

Tunapokaribisha mwaka mpya 2014 ni vyema pia kupanga mambo mengine upya na kuyaweka katika ubora ili kuweka tofauti kubwa kati ya yale tuliyoyafanya mwaka uliopita na yale tutakayoyafanya mwaka huu.

Basi katika swala la mavazi na viambatana vyake nimeona ni vyema kushare nawe viatu vya wanawake na wanaume na mabegi ya kisasa yaliyotengenezwa kwa kutumia vitenge. ni ubunifu wa hali ya juu tazama hizo picha unaweza kukubali ninachokuambia.

 










Binafsi nimefurahishwa na ubunifu mkubwa uliofanywa na KIM FASHION DESIGN ambao wanapatikana NAFASI ARTSPACE karibu na ITV Mikocheni. Kama wahitaji kupata viatu au mikoba hii wasiliana nao hapa +255 714 76 83 98

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname