Hivi ndivyo wasanii wa kizazi kipya walivyocharuka
kila mmoja kwa wakati wake kuonyesha mali aliyonayo kutokana na muziki
huo, kila mmoja sasa anataka kuambia jamii kuwa hafanyi muziki kama fani
bali kama kazi pia kuu fanya muziki kuheshimika kama kazi nyingine
Msanii Mdogo wa miondoko ya kufoka lakini pia anayekwenda na styl tofauti kutokana na soko linavyotaka naye amevunja ukimya baada ya kuonyesha eneo lake la ujenzi huko kimara katika jiji la Dar Es Salaam
Hili ndilo Eneo Ambalo Msanii Young Dee Anamiliki kutokana na kazi yake ya muziki

No comments:
Post a Comment