15 January 2014

BAADA YA CHHRISTIANO RONALDO KUSHINDA UCEZAJI BORA,WABONGO WATENGENEZA PICHA ZA KUM DISSI MESSI,,,,,JAMANI NI VITUKO BALAA,pole messi...TAZAMA HAPA...utacheka utoe chozi



Wabongo hawana maana kabisa. Baada ya Christian Ronaldo kuondoka na tuzo ya mchezaji bora wa dunia na kumwaga mpinzani wake mkubwa Messi. wabongo wakaamua kutengeneza kituko cha Messi.

Hiyo picha unayoiona hapo juu ni Orijino ya Ronaldo akiwa na mkewaka na Messi akiwa na mke wake. sasa baada ya Ronaldo kushinda wabongo waka edit hiyo picha na matkeo yake yaka kama hivi

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname