Wachezaji wa Manchester United wametembelea katika hospitali mbili
jijini Manchester ambazo ni Royal Manchester Children’s Hospital na The
Christie. Wachezaji hao ni pamoja na Michael Carrick, Marouane Fellaini
na Adnan Januzaj, De Gea, Ashley Young,Valencia,Fletcher na Javier
Hernandez. Katika ziara hiyo wachezaji hao waliwatakia watoto heri ya
Christmas na kuwapa zawadi.
Siku ya kukumbukwa Carrick, Valencia, De Gea na Ashley Young (kulia) wakiwa na shabiki na mama yake
Mtoto ambaye ni shabiki mkubwa wa United akionyesha furaha yake kwa kutembelewa na Javier Hernandez na Darren Fletcher
Mtoto ambaye ni shabiki mkubwa wa United akionyesha furaha yake kwa kutembelewa na Javier Hernandez na Darren Fletcher
David de Gea (wa pili kushoto), Luis Antonio Valencia (nyuma) na Michael Carrick (kulia) akiwa na mtoto
Fletcher na Chicharito wakiwa na mtoto waliyempa zawadi ya Christmas
Marouane Fellaini (kushoto) na Adnan Januzaj wakikabidhi zawadi kwa watoto
No comments:
Post a Comment