28 December 2013

TAZAMA BAADHI YA MATUKIO YALIYOJIRI KWENYE TAMASHA LA WATOTO ON CHRISTMAS, DIAMOND ALIVYOWAPAGAWISHA MADOGO KWA KUCHEZA NGOLOLO




 Kila mtu na mbwe mbwe zake...
 Dada Zamarad na mwanae


 Cute...!!!!
 Mtoto akiwa bize kuchukua kumbukumbu za ndugu yake  jukwaani
 Shadee wa Clouds Tv..alikuwa mc wa tamasha
 Shadee na Juniour
 Huyu mtoto kumbe ana kipaji cha kuimba na
 kucheza pia..alikuwa mshindi wa pili  kati ya watoto 3 walioshinda
Ni shidaa

 Japo wananchi hawakumpa ridhaa ya
 kushinda,alijitahidi na alikuwa na mbwembwe sana

 Ha ha ha hawa watoto  wawili wa mwanzo..swagger zao tu....!!!
 Caring...!!!Fella akimshusha mtoto aliyekuwa
 amekaa kwenye eneo lilikuwa hatari kwake



Japo ilikuwa risk kwao..hawa watoto walitumia kila njia waweze tu 
kupata nafasi nzuri na kushuhudia tulichokifanya jukwaani

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname