26 December 2013

TAMASHA LA KRISMAS LAFANA UWANJA WA TAIFA, SOLOMON MAHLANGU AWAPAGAWISHA MASHABIKI, WASHINDWA KUKAA KWENYE VITI


2BMwimbaji wa muziki wa injili Solomon Mahlangu kutoka nchini Afrka Kusini akiimba jukwaani jioni hii kwenye uwanja wa Taifa katika tamasha kubwa la Krismas lililofanyika jijini Dar es salaam likishirikisha waimbaji wengi kutoka nchi mbalimbali za afrika wakiwemo waimbaji wa Tanzania, Mwimbaji huyo Nguli wa muziki wa njili ameonyesha uzoefu mkubwa katika kuimba tofauti na waimbaji wengine waliotangulia ukiacha Ephraim Sekereti wa Zambia, kutokana na kuimba nyimbo mbalimbali za kizuru kiingereza na  kiswahili kwa ufasaha . kwakweli ilikuwa ni burudani ya aina yake, lilikuwa ni onesha lililososisimua mashabiki wengi huku wakishindwa kukalia viti vyao wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani, kila alilowaamrisha wao walifuata kama zinavyoonekana picha hapo chini kweli huyu ndiye Solomon Mhlangu.3BWaimbaji wa mwimbaji Slomon Mahlangu wakiimba jukwaani 4BMashabiki wakipigishwa saluti na mwimbaji Solomon Mahlangu
5BHakuna aliyekuwa amekalia kiti chake wakati mwimbaji huyo akiwa jukwaani akifanya vitu vyake.6BHapa ilikuwa kila mmoja akinyanyua kitambaa chake juujuu ili mradi burudani tu.7BMashabiki wa Solomon Mhlangu wakiwa ameshikana mikono huku wakiinyanyua juu.16Mgeni rasmi Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu Uratibu wa Sera na Bunge Mh. William Lukuvi akizungumza katika tamasha hilo na kuwashukuru waimbaji wa muziki wa injili kwa kuendelea kuhubiri amani nchini lakini pia akawahakikishia kwamba serikali kitahakikisha amani iliyopo inadumu, kulia ni mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama na katikati ni Ezekiel Maige Mbunge wa jimbo la Msalala hivi punde atapanda jukwaani mwimbaji nguli wa muziki huo kutoka nchini Afrika Kusini Solomon Mahlangu ili kuhitimisha tamasha hilo kwa jiji la Dar es salaam.14Mwimbaji Ephraim Sekereti akitumbuiza kwenye  uwanja wa Taifa wakati wa tamasha la Krismas linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam lillilofany.ka jioni hii15Mwimbaji Ephraim Sekereti akifanya vitu vyake jukwaani jioni hii kwenye uwanja wa taifa17Mgeni rasmi Waziri wa nchi katika ofisi ya waziri mkuu Uratibu wa Sera na Bunge Mh. William Lukuvi akirejea kukaa mara baada ya kuzungumza na wananchi katika tamasha la Krismas kulia ni mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama na na kushoto  ni Ezekiel Maige Mbunge wa jimbo la Msalala9Mwimbaji Rose Muhando akiimba na kucheza kwa hisia  mbele ya mashabiki wake10Mwimbaji Rose Muhando akiimba na kucheza kwa hisia  na kundi lake mbele ya mashabiki wake11Waimbaji kutoka kundi la Upendo Kirahilo wakiimba jukwaani.12Mwimbaji Upendo Kirahiro akiimba jukwaani1aaMwimbaji wa muziki wa injili Boni Mwaiteje akipagawisha mashabiki wake wakati akitumbuiza kwenye Tamasha la Krismas linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam  jioni hii kwenye uwanja wa Taifa, katika tamash hili pia yuko mwimbaji nguli wa muziki huo kutoka nchini Afrika Kusini Solomon Mahlangu 2aBoni Mwaiteje akionyesha uwezo wa kucheza na masteji shoo wake
1Kundi la The Voice likitumbuiza katika tamasha hilo.2Mashabiki mbalimbali wa nyimbo za injili waliojitokeza katika tamasha hilo wakiwa katika uwanja wa Taifa jioni hii.3Mwimbaji Edson Mwasabwite akifanya vitu vyake jukwaani.47Mwimbaji upendo Nkone akiimba katika tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname