26 December 2013

Hivi ndivyo toto party ya Diamond platnumz ilivyo fana...watoto wazid kumpaisha diamond tazama picha hapa!!

D7 
Leo msanii Diamond Platnumz aliandaa party kwa ajili ya watoto wote ambao walikusanyika Leaders Club kwa ajili ya michezo mbalimbali,kama kukimbia,kucheza mpira na vingine kibao. D10 
Kizuri kwenye toto party hii Diamond aliwachezesha watoto nyimbo yake ya My number one na waliocheza vizuri alitoa dili ya kuwasomesha kuanzia elimu waliyonayo mpaka wanamaliza.
Hizi ni baadhi ya picha kwenye party hii.
D8 D31 D28
D24 D23 D21 D22 D20 D18 D17 D16 D15 D14 D13 D12 D10 D9 D7 D6 D3 
Source- millardayo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname