02 December 2013

ONA KILICHOMKUTA KIJANA HUYU BAADA YA KUKWAPUA POCHI KATIKA UMKUMBI WA DAR LIVE WAKATI MZEE YUSUF AKIFANYA YAKE JUKWAANI..!! TAZAMA HAP



Kijana aliyetuhumiwa kukwapua pochi akiwa chini ya ulinzi na pochi alilokwapua.

UKUMBI
wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam, jana usiku ulifurika mashabiki katika onyesho la bendi ya taarabu ya Jahazi inayoongozwa na staa Mzee Yusuf.

.
SINA habari mie...! Waibiane wenyewe hukohuko....! Najimwaya kumalizia kiingilio changu mieeee...!!!

 
Shabiki aliyevaa kihasara akinengua jukwaani.

 
Khadija Yusuf akiimba.

 
Mzee Yusuf akinengua na mpiga gitaa wake.

 
…Akiwaimbisha mashabiki.

 
Mashabiki wakiserebuka kivyao.

(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname