26 December 2013

MTALAKA WA JOYCE KIRIA AFUNGA NDOA.....!SOMA ZAIDI HAPA...

Joyce Kiria.
MTALAKA wa mtangazaji Joyce Kiria, Nelson Nkongo ‘DJ Nelly’ amefunga ndoa na mwanamke mwingine aliyefahamika kwa jina la Elinda ‘Aika’.

Mapema wiki hii, picha za wanandoa hao zilizagaa kwenye simu za mastaa mbalimbali huku wengi wao wakimpongeza Nelly kwa kuchukua uamuzi
“Tunampongeza Nelly kwa kuwa hakukurupuka kama wanaume wengine ambao huwa wanaamua kuoa haraka, kwa vyovyote atakuwa amechunguza sana ili kumpata mke mwema,” alisema Linda wa Dar.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname