27 December 2013

“Mimi…nitoe rushwa ya ngono ili nitoke, mh…kwa kweli hiyo..." MSANII MENINA AFUNGUKA...SOMA ZAIDI HAPA....

Menina Atick
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Menina ambaye sasa anasumbua na wimbo wake wa Shaghala Baghala alisema anachoamini ni kwamba msanii wa kike mwenye kipaji hata asipotoa rushwa ya ngono, nafasi ya kung’ara anayo, hivyo yeye atakuwa mfano kwa wengine.
“Mimi…nitoe rushwa ya ngono ili nitoke, mh…kwa kweli hiyo haiwezekani, najiamini na sitakubali kuutumia mwili wangu kwa kugawa penzi ili nisimame kwenye muziki, kwanza nitatembea na wangapi,” alihoji msanii huyo.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname