MASHABIKI
kadhaa wa Yanga leo wameshinda Uwanja wa Ndege wakisubiri kumpokea
Emanuel Okwi lakini hakutokea badala yake walijikuta wakimpokea beki wa
Simba Gibert Kaze.
Mashabiki
hao walifika uwanjani hpo wakiwa na jezi iliyoandikwa jina la Okwi kwa
ajili ya kumkabidhi lakini waliishia kuikunja na kurudi nayo baada ya
mchezaji huyo kutokufika.
No comments:
Post a Comment