19 December 2013

KAJALA AKANUSHA SHUTUMA ZA KUTEMBEA NA MME WA SHAMIM MWASHA. SOMA ALICHOKISEMA HAPA



shamim-weddinmg-8Kweli walimwengu ni noma sana kwa kuzusha, hivi karibuni kulikua na habari za chinichini kua mwanadada kutoka bongo movie Kajala kua anatoka na mme wa blogger maarufu hapa bongo. Baada ya habari kumfikia mwanadada Kajala ameamua kufunguka na kukanusha uongo huo.
Kajala alifunguka kupitia mtandao flani wa jamii kuhusu ishu hiyo na kusema haya "nadhani namjua uyu dada siku nyingi sana kabla ata ya wengine wenu kumjua tunaeshimiana sna na atujawahi kukoseana sasa sijui nani alie anzisha habari ya mimi natembea na mume wake na sijui alifanya ivyo kwa makusudi gani naumia kila siku kwaajiri ya ujinga wa watu na hayo magazeti nikiwaambia nipeni ushahidi wa kuwa natembe na mume wa shamim sijui kama mtafanya daah sijui" Hicho ndo alichokisema mwandada Kajala. 
SHUKA CHINI KUTOA MAONI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname