Ni miongoni kati ya mastaa wanaotisha kwenye Tasnia ya Filamu hapa bongo Salma Jabu ‘Nisha’ aliyewahi kuingia kwenye game la muziki kwa kufuata mkumbo. ‘Nisha’ now katia fora kwa kumaliza mwaka kishujaa bila ya kuwa na mpenzi yeyote wala kushiriki tendo la ndoa ikiwa tangu alipoachana na mpenzi wake ambaye hakupenda kumtaja jina ni kutokana na busy aliyokuwa nayo mwaka 2013. “Sikuweza kukaa na kufikiria suala la mapenzi kutokana na u-busy niliokuwanao tangu nilipoachana na mpenzi wangu lakini busy yangu ya kazi pia ndio ilionipa mafanikio niliyonayo hivyo namshukuru Mungu kwa kunilinda mwaka mzima “- Nisha.
No comments:
Post a Comment