21 December 2013

ANGALIA PICHA ZA MAPOKEZI YA ZITTO ALIVYOTUA KIGOMA


Mbunge wa Kigoma kaskani Mh Zitto Kabwe akisalimiana na wakazi wa Kigoma mara baada ya Kuwasili kigoma asubuhi ambapoa wakazi wa kigoma wamejitokeza kwa wingi kumpokea Mbunge wao
 Zitto Kabwe akiwa katika gari la wazi mara baada ya kutua kigoma asubuhii ambapo amepata mapokezi ya kishindo


wafuasi wa Zitto kabwe wakiwa katika maandamano..
 
 
-MATUKIO NA MICHAPO
SHUKA CHINI KUTOA MAONI 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname