03 December 2013

HIZI NDIZO DALILI KUMI ZA MWANAUME KUWA SHOGA...! CHEKI HAPA AMA KWELI DUNIA IMELAANIWA




Siku hizi wanaume wengi wamekuwa na tabia mbaya za ushoga ..wengine wanaonyesha live wengine wanajificha ficha ila kuna dalili unaweza kujua kuwa ana tabia hizi ,,,Hizi ni Baadhi tu ukiona mvulana ana tabia hizi basi anza kumchunguza vizuri inawezekana kabisa kuwa si
ridhiki...
-------------------------

1. Kutia kalikiti kichwani
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo
4. Kutoboa pua/sikio
5. Kupaka lip shine
6. Kuvaa nguo za kuacha mattako nje
7.Umbea
8.Kupigana vijembe
9.Kupenda taarabu
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti
11.Endeleza.......
Ni ipi kati hizo umewahi kuziona kwa Kidume? 
​ 

2 comments:

  1. Ilo la taarabu wengi wanahusika apo

    ReplyDelete
  2. yaani unachomaanisha ni kwamba wasanii wote wa Bongo flava wanaelekea kuwa mashoga sasa, maana ndio watoboa pua na watia kalikiti kichwani....hahaha wengine masharobaro tu bana

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname