Hii haina kudanganya kabisa, ni tukio
la aina yake ambalo halijawahi kutokea na kushuhudiwa na maelfu ya watu
ambapo Mmoja ya wanyama wanaokimbia zaidi Duniani Duma kubaki na
Bumbuwazi baada ya kuachwa mbali katika mashindano ya mbio ambapo mnyama
huyo alishindanishwa na Binadamu.
Uwezo huo mkubwa wa binanadamu
kuonekana amefanikiwa kumshinda Duma umefanywa na Shirika la NatGeo
ambao wanahusika na maswala ya wanyama , ambapo waliwachukua jamaa
wawili ambao wanakimbia zaidi huko Florida
Hivi ndivyo ilivyo kuwa
Hapatoshiiii hapa... Tazama Duma huyu akikimbia na kutimua mbio zake
zote lakini ziliishia sakafuni pale Chris Johnson alipo mbwaga vibaya
katika Mbio hizo ambazo mwanadamu alionekana ndiye anakimbia zaidi
kuzidi wanyama hao.
"Du Wanadamu Hatari sana yani kumbe ndivyo wanavyokimbia" ni kama hawa Duma walikuwa wakiyawaza maneno haya
Hawa ndio Jamaa waliowatoa Nje Duma hao katika mbio
No comments:
Post a Comment