ANGALIA NYUMBA INAYOELEA JUU YA MAJI HUKO ZANZIBAR
HII NI NYUMBA AMBAYO INAELEA KWENYE MAJI IPO ZANZIBAR WAZUNGU WANAKODI KUINJOY HOLIDAY ZAO WAKIJA KUTEMBEA HAPA ZANZIBAR. INAUWEZO WA KUMOVE COZ INAMASHINE KAMA BOT AU MELI. KARIBUNI ZANZIBAR.
JE UMEWAHI KUIONA?
No comments:
Post a Comment