Katika ujumbe mfupi ambao Mh.Zitto Kabwe ameuweka kwenye ukurasa wake wa Facebook na taarifa hiyo hiyo kusambazwa kwa vyombo mbalimbali vya habari, mkutano na waandishi wa habari unatarajiwa kufanyika hapo kesho saa tano [asubuhi] katika Hoteli Ya Serena jijini Dar-es-salaam.
Hii hapa taarifa yenyewe;BOFYA KUSOMA ZAIDI
No comments:
Post a Comment