11 November 2013

WATU WAMETOKA MBALI SANA...!! TAZAMA PICHA ZA LADY JAY DEE WA MIAKA 10 ILIYOPITA ..!!


 
2003 - Na hiyo ndio cheni ya kwanza ya dhahabu kwa Lady Jay Dee kununua kwa hela yake mwenyewe
 Huyu ni Lady Jay wa Mwaka 2006-2007 ila kwa sasa amekua sana na havai hivyo tena. #Nice
Na marehemu Kiiza Kahama Akiwa Na Komando Jide kwenye mkesha wa mwaka mpya 2000-2001
Huyu ni Jide mwaka 1995 wakati akifanya miondoko ya kufoka foka kabla hajaanza kuimba

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname