15 November 2013

TABIA YA WASANII KUPIGA PICHA NA VITITA VYA PESA NA KUWEKA KWENYE MITANDAO

Bila shaka umeshakutana na picha za msanii umpendaye inayomuonesha akiwa ameshika burungutu kubwa la fedha, ameziweka pembeni ya kitanda ama kuzipiga picha zenyewe na kupost kwenye Instagram. Tumewauliza baadhi ya wasomaji wetu kuhusiana na namna wanavyojisikia wakiona hivyo na hivi ndivyo wanavyosema:

Man Asotziona Utd

Mi naona poa tuu,,mbona wengine wanaweka naked pic.. Hao wanaocomment angalia pic zao..sio ishu kuanza kufatilia personality za watu… Kwani inawaumiza nn.. Tumekaa kimbea tuuuuuuuu

Missie Sheila

I dnt find it wise kabisa!!mbona matajiri wapo wengi lakini hawakai wakapiga picha hela zao na kudisplay kwa media!!lol

Costa Nehemia Munisi

Mweeeh. wenye pesa nyingi wanaweka bank ili zisiibiwe au zipo kwenye investment. wanazo ambazo huwez kuiba. hv bakhressa au mengi c wangeonyesha nyumba iliyojengwa kwa pesa

Dorah Charles

Mi naona kawaida tu,kwani inamkera mtu nn?ni kila mtu na uhuru wake ili mradi si dhambi.

Hassan Kuku

Wap**avu tu siku mbili ooo mziki haulipi mala filamu hazilipi wakati umetuonyesha jinsi gani unavyomiliki pesa unaweza kosa dili watu wakikuogopa kukupa dili wakijua unapesa kuliko dili analotaka kukupa

Nasrah Shaaban

Tatizo la sisi kuiga tuu hatufikirii ubaya wa kuiga yote hayo wanaigwa macelebrity wa marekani usije ukashangaa lil wayne kapost picha matako nje na huku msanii wetu wa kiume akapromote matako yake,nonsense.

Protus Lucas

Dah yan ukitaka kujua uwezo wa watanzania wengi wa kufikiri na kutoa maamuz na kujibu maswal yan kwenye maswali kama haya. .teh teg watanzania wengi bdo IQ zetu zko chni xna . .NB. .kabla hujacoment jambo fikili mara 2 kabla hujanena . .kila mtu ana uhuru wa kufanya anachopenda as long as hajavnja sheria ya nchi. .

Walter G Finest

HUU UJInga….inaonesha bado bongo lala…..Watt I know HELA inahitaji discipline..KWA stLY hii??2TAziona hizi hizi za madafu

Isaac John

Sio kitu kizuri kuonyesha ulichonacho sio zao ndiyo maana wanazionyesha wenye nazo wamepiga kimya

Begwell Mbiza

Bora wanao weka PICHA ZA MKWANJA kuliko wanao weka PICHA ZA UCHI

Clank Swaggz Babie Stunner

Nikujishaua tu wala hakuna kitu wenye pesa wametulia lakin maskin ndo wanajishau kuwa wanazo wakat ni zero

Mamuu Omary

Kwa mm naona ni ushamba wa hali ya juu, hata usipoonesha mahela km n tajiri watu watajua tu, sasa ukionesha watu itasaidia nn sanasana munaita majambazi waavamie tu ulinzi wenyewe nyumbani kwenu wa hovyo, ushamba tu huo jamani

Gara B Kubwa

Ikopoa2..Mbona wakiweka Mastaa wa Nje inaitwa Swag..ila sisi Upumbavu..Badaway kila m2 yuko Huru kufanya akifanyacho kwa Net mlad2 avunji Sheria ya Nchi..Hana tofauti na ww unaepost Picha ukiwa na Gari lako Jipya,,Wengne wanaonyesha Nyumba zao,Wengine WanaKula bata Chupa za Bia kibaao mixer Minyama nk.. Yote ayo nikuonyesha ufahari wa Pesa.. Sasa anaeonyesha Fedha Kavu kama hvyo ndo mzuka zaid .Binafsi ananipa Mzuka waKuzisaka zaid

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname