13 November 2013

SNURA WA MAJANGA ALETA SHIDA, AMA KWELI HII NI BALAA DUNIANI:


Ilikuwa kwenye show ya kichwaji cha GRAND MALT maeneo ya karumeshida ilianza pale mkali wa viuno mwanadada snura alivyopanda jukwaaani hali ilikuwa si shwali kabisa pale wauza mitumba waliaamua kupiga shangwe za hatari na kutaka mpaka kumshika snura kwa balaa alilolifanya. show ilivyoisha alitumia lisali moja na nusu kutoka kaatika uwanja huo kila mtu alitamani kumshika kila mtu alitaka kupiga nae picha. angalia video hapo chini hali ilivyokuwa.INAENDELEA HAPA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname