15 November 2013

P SQUARE KUWASHA MOTO JUKWAA MOJA NA LADY JAY DEE PAMOJA PROFFESSOR JAY


Tarehe 23 pale Leaders Club patakuwa hapatoshi baada ya EastAfrica TV kutangaza kwamba wakali wawili walioimba joto hasira watapiga show pamoja na P Square. Kupitia ukurasa wa facebook wa EATV walisema “HABARI MPASUKO: Lady Jay D, Prof J kupafomu na P-SQUARE

Yaani zile JOTO HASIRA zikikutana na ALINGO lazima PERSONALLY utasema CHOP MY MONEY hadi YAHAYA apatikane maana tupo KAMILI GADO!!!

Wale wakali wa muziki hapa Bongo toka enzi hizo, mwanadada Lady Jay Dee (ANACONDA) na Professor Jay watapafomu jukwaa moja na P- SQUARE siku ya Novemba 23 pale Leaders Club. Endelea kusikiliza East Africa Radio kwa habari zaidi pia kumbuka Zimebaki siku 2 tu za kununua tiketi yako kwa M-PESA kwa elfu 30!!”

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname