NEWS!!! DJ RANKEEM AFARIKI DUNIA...SOMA ZAIDI HAPA
Dj Rankeem Ramadhan enzi za uhai wake.
Dj
Rankeem Ramadhan amefariki dunia leo mchana.
Marehemu aliwahi kufanya
kazi Radio One, Clouds FM, Radio Free na kupiga disco katika kumbi
mbalimbali.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen!
No comments:
Post a Comment