06 November 2013

MWANAMKE ALIYEPIGWA RISASI HALI TETE

Violet Lyapa, mwanamke aliyepigwa risasi na polisi katika Benki ya CRDB, TRA Arusha.



HALI ya mwanamke aliyepigwa risasi na polisi katika Benki ya CRDB mjini hapa, Violet Lyapa (30) bado ni tete huku taarifa zake zikifanywa kuwa siri kubwa.Kwa mujibu wa taarifa kutoka Hospitali ya Selian, Violet bado amelazwa katika chumba cha uangalizi maalumu (ICU) huku hali yake ikibadilikabadilika.Pamoja na kwamba tukio hilo limechukua siku zaidi ya tano bado hali ya Violet inafanywa kuwa siri nzito.SOMA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname