07 November 2013

KESI YA SHEIKH PONDA YAPIGWA KALENDA

 Sheikh issa Ponda akiwa mahakamani leo
Kesi inayomkabili Katibu wa BAKWATA Sheikh Issa Ponda Imeairishwa tena Mpaka tarehe 21 Mwezi huu.Kesi hiyo iliyoko katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro Ambapo sheikh Issa Ponda Anakabiliwa na Mashata matatu Imearishwa kutokana na jalada la kesi hiyo kuwa ,mahakama kuu kanda ya Dar es salaam.INAENDELEA HAPA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname