kiwa
mmoja kati ya wanadada wanofanya vizuri sana kwenye Tasnia hii ya
BongoMovies ,Wema Sepetu ni msichana anayetoka kwenye Familia ya
kibalozi ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi
Isaack Sepetu Ibrahimu.
Early life
Wema
sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew's
jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yao
yenye watoto wanne wa kike.
Alipata
elimu yake ya primary na sekondari katika shule ya ACADEMIC
INTERNATIONAL iliyopo jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda Nchini
Malaysia kusomea mambo ya biashara za kimataifa katka chuo cha
Limkokwing University.
Career
Wema
alianza kuigiza rasmi mwaka 2007 alipoonekana kwenye filamu ya POINT OF
NO RETURN ambapo halicheza kama mke wa jamaa tajiri mchawi ambaye daima
huua wapenzi wake wa kike kama sadaka. Wema alifikiri angeweza kufa pia
lakini aliamua kumwomba Mungu na mwishowe alifanikiwa kuiokoa familia
yake na yeye.
Pamoja
na filamu hizi Wema ameigiza kwenye filamu nyingine nyingi kama Red
Valentine, White Maria, Tafrani, Sakata, Crazy Tenant, Diary, Lerato, Dj
Benny and Basilisa zilizompatia umaarufu na mafanikio makubwa.
Pamoja
na kuwa na kipaji cha uigizaji wema pia anakipaji kikubwa cha kuimba na
pia alishawahi kushiriki mashindano ya urembo na kufanikiwa kutwaa taji
la Miss Tanzania mnamo mwaka 2006 na kujipatia zawadi ya gari aina ya
Toyota Rav 4
YAAAN HAPO NDIO MMEMALIZA!!!!!!? SHAME
ReplyDelete