Nipo hapa maeneo ya JIJI la Mwanza, nimekutana na polisi wakiwashikilia waganga wawili wa kienyeji na mhudumu wa Hospitali.
Nikambiwa wanashikiliwa hapa mkoani Mwanza kwa kukutwa na kiganja cha binadamu.
Note: mhudumu(Nurse) wa hapa hospital ya Sekourtore anashikiliwa kwa
uchunguzi akidaiwa yeye pia anahusika katika kupanga dili na mara kwa
mara amekuwa akijihusisha na kazi hiyo!
Picha za matukio nitawaletea ndani ya muda mfupi.
Kwa
ufupi huwezi kumtenganisha msukuma na ushirikina hata siku moja. Hivyo
wahalalishiwe hiyo fani yawezekana wamejaliwa na Mungu ila fursa ya
kuendeleza fani yao hawajapata bado.
source-jamiiforums
No comments:
Post a Comment