11 November 2013

BREAKING NEWZZZZ.....: PROFESA JAY APATA AJALI MBAYA YA GARI



Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mwanamuziki wa Hip hop, Joseph Haul 'Profesa Jay' amepata ajali ya gari baada ya kuparamia kifusi akijaribu kumkwepa
mtu eneo la Kimara-Baruti, jijini Dar wakati akitoka nyumbani kwake Mbezi! Prof hajaumia sana katika ajali hiyo japo gari lake limeharibika.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname