06 November 2013

BREAKING NEWZ : ANGALIA PICHA ZA MAJERUHI WA MGOGORO WA WAKULIMA NA WAFUGAJI MOROGORO

Mmoja Majeruhi Aliyejeruhiwa vibaya ambaye jina lake halikufahamika mara moja kati ya 39, aliyepigwa risasi baada ya kutokea vurugu za wakulima na wafugaji katika kata ya Hembeti wilaya Mvomero na kusababisha  mtu mmoja kufariki dunia kwa kupigwa na risasi mkoani Morogoro.
KWA PICHA ZAIDI ENDELEA KUPITIA MATUKIO NA MICHAPO BLOG

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname