Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao
kuwa mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali
mwanadada Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii
tumeweza kupata video ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio
hilo si la kweli na kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa
habari hizo ni za uzushi tuu
No comments:
Post a Comment