Msichana mmoja kutoka kaunti ya bungoma sasa anataka hatua zichukuliwe dhidi ya daktari mmoja kwa kuhatarisha maisha yake.
Maureen
Khaemba alifika hospitali kuu ya bungoma kujifungua, lakini baada ya
upasuaji, daktari alisahau pamba tumboni mwake hali ambayo
imemsababishia maumivu chungu mzima.
Beatrice Maganga na taarifa hiyo.
No comments:
Post a Comment