14 November 2013

ALIYEKUTWA ANAJISAGA ANENA AZITO

http://theclicktz.blogspot.com/

Mtandao mmoja huko South Africa ulifanikiwa kumnasa mrembo aliyekuwa natabia ya kujisaga na kujaribu kupata majibu ya maswali mengi kutoka kwake. Mrembo aliulizwa kwanini aliamua kuwa na tabia hiyo wakati wanaume wapo '' alisema wanaume hakuna siku hizi ukimpata anakuchezea chezea tu na kisha kukuacha bila kukufikisha, wanaboa yani wakimaliza tu wao basi..'' mrembo huyo alijibu kwa jodo nakusema sitaki tena maswali..!! DAAH HAYA VIJANA UJUMBE NDIO HUO...!!

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname