12 November 2013

AJIRA KUTOKA KWA RAY C..!! MTU WA KUFANYA KAZI HII NDIYO ANAHITAJIKA KUTOKA KWA RAY C

Umem-miss yule ‘Kiuno Bila Mfupa’ wa enzi hizo? Vumilia kidogo kwa sababu yuko mbioni kurudisha ile figure yake. Mwimbaji wa ‘Uko Wapi’, Rehema Chalamila aka Ray C amesema ameli-miss umbo lake la mvuto alilokuwa nalo zamani alipokuwa mwembamba kiasi, wataalamu wa lugha nyepesi wanaita ‘Kipotabo’.
 Hali hiyo imemfanya Ray C kutangaza ajira ya kumtafuta Personal Trainer atakayemsaidia kumrudisha enzi zake.
Kupitia Instagram, Ray C amepost picha inayoonesha umbo lake la zamani akiwa anatumbuiza na kuandika, “I miss ths sexy body!!!!Heeeeelp....I need a good trainer........!Whr r U!!!!!!” Hii ni nafasi ya ajira, kama we ni mtaalam wa mambo hayo mtafute Ray C.

1 comment:

  1. AMBOKILE Huna maana kabisa tena UMEVURUGWA KABISA KULIKO HATA HUYO ALOKULA DAWA wewe badala ya kutoa ushauri wako wa maana unakuja na maujinga yako

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname