Gari Ndogo Iliyopata Ajali Mkoani Morogoro baada ya kugongana Uso kwa uso na pikipiki eneo la mamlaka ya maji mkoani morogoro leo.Chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa gari Ndogo kupita upande usio wake na kukutana na muendesha pikipiki akiwa katika mwendo kasi na ndipo walipogongana uso kwa uso.Muendesha pikipiki ameumia vibaya katika ajali hiyo
Muendesha Pikipiki Ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa chini baada ya kujeruhiwa vibaya katika ajali hiyo .
No comments:
Post a Comment