11 October 2013

VIDEO!!! TAZAMA FILAMU YA MANAIKI SANGA INAYOGOMBANIWA KAMA NJUGU NA MAKAMPUNI!..


clip_image001
Filamu ya msanii Manaiki Sanga ujulikanayo kwa jina la NGEMA imeingia kwenye mgogoro mzito kwa makampuni ya usambazaji ya filamu hiyo kwa huku kila kampuni inahitaji kibari cha kusambaza kwa kupanda dau.

 
Habari za uhakika zilizoshuka mezani kwa papa toka kwa muandaaji wa filamu aliyejitambulisha kwa paparazi jina la Pete kuwa filamu ya Manaiki Sanga aliyoipa jina la Ngema imekuwa gumnzo kubwa nchini Tanzania na huenda ikavunja rekodi kubwa na kuwa filamu bora ikayouza nakala nyingi zaidi kuliko filamu nyingine yeyote. 
Kampuni zilizoingia kwenye patashika hiyo huku kila kampuni ikihitaji kusambaza filamu hiyo ni Steps, Splash, Pilipili, Leo Media.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname